"Pangilia tena simu ili ichaji kwa kasi" "Pangilia tena simu ili ichaji bila kutumia waya" "Kifaa cha Android TV kitazima hivi karibuni; bonyeza kitufe ili kisizime." "Kifaa kitazima hivi karibuni; bonyeza ili kisizime." "Hakuna SIM kadi katika kompyuta kibao." "Hakuna SIM kadi kwenye simu." "Misimbo ya PIN haifanani" "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Kompyuta hii kibao itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Simu hii itarejeshwa katika hali iliyotoka nayo kiwandani, hatua itakayofuta data yake yote." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Mtumiaji huyu ataondolewa, hatua itakayofuta data yote ya mtumiaji." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua simu mara %1$d bila mafanikio. Ukikosea mara nyingine %2$d, wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua kompyuta kibao mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umejaribu kufungua simu mara %d bila mafanikio. Wasifu wa kazini utaondolewa, hatua itakayofuta data yote ya wasifu." "Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Baada ya majaribio %2$d zaidi bila mafanikio, utaombwa ufungue kompyuta yako kibao kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d." "Umeweka mchoro usio sahihi wa kufungua skrini mara %1$d. Ukikosea mara nyingine %2$d, utaombwa ufungue simu yako kwa kutumia akaunti ya barua pepe.\n\n Jaribu tena baada ya sekunde %3$d." "Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kompyuta kibao." "Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa kifaa." "Kitambuzi cha alama ya kidole kinapatikana kwenye kitufe cha kuwasha/kuzima. Ni kitufe bapa pembeni pa kitufe cha sauti kilichoinuka kwenye ukingo wa simu." "Fungua simu yako ili upate chaguo zaidi" "Fungua kompyuta yako kibao ili upate chaguo zaidi" "Fungua kifaa chako ili upate chaguo zaidi" "Inacheza kwenye simu hii" "Inacheza kwenye kompyuta hii kibao"